eveblogspot
Tanzania
Friday, October 12, 2012
Thursday, October 11, 2012
Tuesday, June 26, 2012
NGOMA MPYA YA LOLA MONROE "EXODUS 23:1 REMIX".
Femcee
kutoka Taylor Gang Lola Monroe ambae kwa sasa amefanya kila mtu
kumuongelea all over, Pia kwa mistari yake mikali inayong’ata kama nyuki
na mitindo huru ikiwa imelenga kuleta ushindani. Lola Monroe ametangaza
kivuli cheusi juu ya ushindani na Pusha T kwenye single ya “Exodus
23:1 (Remix)” “Hawa Malaya wote ni uchafu/ Wasingeweza kuja kweli kama
it fu**ed them” Ni baadhi ya lines ya Lola Monroe for Exodus 23:1.
Remix.
NGOMA MPYA YA LUPE FIASCO "BITCH BAD".
The
full swag Emcee from Obama Land Lupe Fiasco anakuja na ngoma yake ya
pili inayoitwa “Bitch Bad” kutoka kwenye album yake ya Food & Liqour
II. Album hiyo ya Mkali Lupe Fiasco part II inatarajiwa kutoka
Sepetemba 25.
Monday, June 25, 2012
Sunday, June 24, 2012
MILLIONI 50 KWA AJILI YAKO , NI WEWE TU KUFUNGUKA NA EBSS..ZANZIBAR
WASHIRIKI WAWILLI WAKITUPA FLEVA KIDOGO
MASTER JAY AKIMPA MKONO MPIGA PICHA MMOJA
MSHIRIKI AKIJARIBU KUPIGA NGOMA
WATOTO WALIOKUJA KUWAPA WASHIRIKI BURUDANI
WASHIRIKI WA EBSS WAKIENDELEA KUFUNGUKA ZANZIBAR
AWAICHI MAWALLA WA ZANTEL AKIIMBA KWA AJILI YA MAJAJI
WASHIRIKI WAKISIKILIZA KWA MAKINI MAELEZO WANAYOPEWA
WASHIRIKI WAKISUBIRI ZAMU YAO MBELE YA MAJAJI
MADAM RITA AKISIMAMA KUMPONGEZA SALMA YUSUF KWA KUIMBA VIZURI
WASHIRIKI WAKIPANGA MSTARI KINGIA KWA MAJAJI
WASHIRIKI WA EBSS ZANZIBAR NAO WAFUNGUKA
MSHIRIKI WA KWANZA KUFIKA KWENYE USAHILI NGOME KONGWE, SALMA YUSUF AKIWEKA GUITAR YAKE
MSHRIKI TOKA DODOMA, DAYNA BROWN AKIJARIBU KWA MARA YA PILI HUKU ZANZIBAR.
WASHIRIKI WAKIFANYA MAZOEZI YA KUIMBA KABLA YA KWENDA KWA MAJAJI
MSURURU WA WASHIRIKI WAKIFANYA USAJILI KWA AJILI YA EPIQ BONGO STAR SEARCH
MHIRIKI AKIPOKEA NAMBA YAKE YA USHIRIKI
Saturday, June 23, 2012
YANAYOJIRI
Takribani
saa 18 tangu alipotamba runingani akimnadi mwanaye kuwa mambo safi,
mama mzazi wa Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu amejificha chumbani baada
ya waandishi ‘vichwa ngumu’ kutinga nyumbani kwake wakitaka kufanya
naye mahojiano
Tukio
hilo lililokuwa kama filamu ya kivita lilijiri nyumbani kwa mzazi huyo
wa Wema, maeneo ya Sinza-Mori, Dar es Salaam Juni 20, mwaka huu, mchana
kweupe wakati kukiwa na marudio ya kipindi alichotumia kumnadi mwanaye
na kuwananga marafiki zake.
KWA HABARI ZAIDI INGIA http://www.globalpublishers.info
DOGO JANJA AREJEA KWA KISHINDO NDANI YA BONGO
Baada
ya mapokezi hayo millardayo.com ilipata nafasi ya kuzungumza Exclusive
na Dogo Janja ambae alisema amefurahishwa na hayo mapokezi na kusisitiza
kwamba japo aliapa hatorudi kuja kusoma Dar wazazi wake wamemsihi
kwamba zile zilikua hasira tu hivyo arudi Dar na aedelee na masomo kitu
ambacho amekikubali kwa roho safi.
Janja
amesema bado hajasaini mkataba mpya na WATANASHATI lakini kuna watu
wake wawili anaowasubiri kwa ajili ya kuja kuupitia pamoja huo mkataba,
baada ya hapo ndio atasaini kama amekubaliana nao na atatangaza.
Amesema
amebadili mawazo na sasa atasoma Dar es salaam katika shule nzuri
ambayo aliahidiwa na Ostaz Juma meneja wa Watanashati, atakua anapelekwa
shule na kurudishwa nyumbani kwa gari, anachohitaji pia ni kusoma
kwenye shule binafsi nzuri na pia swala lake la muziki kuzingatiwa.
kwenye
sentensi nyingine amesema “sasa hivi nitakua naigiza na filamu pia na
kina Kitale manake tuko nao kwenye kundi moja la watanashati”
Kwa
kumalizia Janja amesema kauli mbiu ya wakati huu imebadilika “kauli
mbiu ya wakati nilivyokujaga nilisema nawakalisha matembo sasa hivi
nawalaza chali matembo”
HABARI NA MILLAR AYO
AIBU GANI HIIIIIIIIII
Nilishangaa
sana kuona gari hili mbele yangu nilipokuwa nikipita maeneo ya Namanga
(Dar es salaam), nikajiuliza kama waswahili wenyewe hatujui kiswahili
wageni wanaokuja watajifunza nini. Hili ni gari la wizara flani, kama
wizarani hali ndio hii mmmh sijui....ngoj aniishie hapa.
MSAADA KWA WIZARA HUSIKA
KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU ILIYOCHAPISHWA NA OXFORD TOLEO LA PILI
shereheke.a kt fanya vitendo vya furaha ili kufurahikia au kuadhimishia tukio au jambo fulani
KAMA MFUPI MFUPI TU UREFU HAULETWI NA VIATU
Reactions: |
Subscribe to:
Posts (Atom)